Articles

JE, KIFO HUWEZA KUSABABISHWA KWA MTU KUIFAHAMU AFYA YAKE?

By

on

Wapenzi wasomaji na wafuatiliaji wa mada na taarifa mbalimbali kupitia Website/Blog/Health forum hii uipendayo ya Tanzlife, leo tunawaletea mada hii inayosema, Je, kifo huweza kusababishwa kwa mtu kuifahamu afya yake?. Lengo la mada hii ni kukumbushana/kuelimishana na kubadilishana mawazo juu ya mtu kuifahamu afya yake, je kwa mtu kuifahamu afya yake, kuna faida au hasara zozote atakazozipata?.

Wewe ndiye msemaji mkuu wa mada hii, pia tunapenda kuchukua nafasi hii kuwataarifu kuwa, kwa yeyote ambaye angependa mada fulani au anayo taarifa au kuna jambo ambalo anahitaji apate ushauri au maoni kutoka kwa wasomaji wa Blog hii, unaweza kututumia mada yako/taarifa au kisa chochote ambacho ungehitaji ushauri, nasi tunakuahidi kuwa tutakiweka katika Blog hii ili watu waweze kukusaidia kulingana na ambavyo hitaji lako lilivyo, pia kumbuka kuwa picha yako, number za simu, jina au mahali unapoishi hatutaandika bila ya kupata ruhusa kutoka kwako.

Ili kutuma mada/taarifa au kisa chako, wasiliana nasi kupitia barua pepe, info@tanzlife.co.tz  au  tanzlife.health@gmail.com

Kwa upande wa mada ili kutoa maoni yako, unaweza kuandika katika sehemu ya maoni katika Blog hii, comments, kupitia ukurasa wetu wa facebook, Tanzlife, kupitia Account yetu ya Twitter @tanzlife au pia unaweza kujisajili katika Health Forum yetu katika Website hapo juu, tazama sehemu ya Health Forum. Kumbuka hakuna malipo yoyote katika kujisajiri na ni Rahisi kujisajiri.

Endelea kupata taarifa mbalimbali za mambo ya afya kupitia Blog yako ya Tanzlife na pia pata taarifa hizi kwa njia ya facebook kwa ku LIKE page yetu inayoitwa Tanzlife au kutufuata katika Account yetu ya Twitter, @tanzlife.

Chanzo: Tanzlife Company Limited

About Admin

Avatar

Recommended for you