Vipodozi ni vitu ambavyo siku zote katika maisha yetu ya kila siku tumekuwa tukivitumia ili kuiweka miili yetu katika hali ya usafi, lakini pia vimekuwa vikichangia katika utanashati wa mtu.
Mpenzi msomaji, mara nyingi kwa baadhi ya watu wanaposikia neno kipodozi basi mawazo yao huamia katika vitu ambavyo hudhani hutumika kwa wanadada/wanawake peke yao, au hudhani kipodozi ni kile kitu kinachoweza kuchubua ngozi ya mtu na kumfanya aonekane na rangi ya ngozi nyeupe badala ya ile ya asili yake mfano nyeusi. Kipodozi ni pamoja na sabuni tunazotumia kila siku, mafuta ya kujipakaa, losheni, pafyumu, krimu na jeli ambavyo hutumiwa na watu wa jinsia zote. Maana ya kipodozi haitabadilika ingawa vitu hivi vipo vya wanawake na pia wanaume. vyote huitwa vipodozi.
Katika makala hii, nimeona ni vyema nikukumbushe viambata ambavyo ni hatari na havitakiwi kuwa katika aina ya kipodozi ambacho wewe utahitaji kukitumia. Kipodozi chenye viambata vifuatavyo hakifai kwa matumizi kutokana na athari zake kiafya. Pia orodha ya vipodozi hapa chini vimezuiliwa na Mamlaka ya Dawa na Chakula Tanzania (TFDA) kutumika:-
VIAMBATA VILIVYOPIGWA MARUFUKU KATIKA VIPODOZI
1. Bithionol
2. Hexachlorophene
3. Mercury compounds
4. Vinyl chloride
5. Zirconium – containing complexes in aerosol products
6. Halogenated salicylanilides (di-, tri- metabromsalan and tetrachlorosalicynilide)
7. Chloroquinone and its derivatives
8. Steroids in any proportions
9. Chloroform
10. Chlofluorocarbon propellants (fully halogenated chlorofluoroalkanes) in cosmetic aerosol products
11. Methyelene chloride
Tangu kuanza kwa udhibiti wa vipodozi nchini, aina 250 za vipodozi vimegundulika kuwa na viambata sumu na hivyo kupigwa marufuku kutumika nchini. Idadi hii itaendelea kuongezeka kila wakati ambapo uchunguzi wa kimaabara wa vipodozi itakapobaini kuwepo viambata vya sumu.
Vipodozi vilivyopigwa marufuku hadi kufikia mwezi juni 2013 ni kama vifuatavyo:
KRIMU NA LOSHENI ZENYE KIAMBATO CHA HYDROQUINONE
Mekako Cream
2.
Rico Complexion Cream
3.
Princess Cream
4.
Butone Cream
5.
Extra Clear Cream
6.
Mic Cream
7.
Viva Super Lemon Cream
8.
Ultra Skin Tone Cream
9.
Fade – Out Cream
10.
Palmer`s Skin Success (pack)
11.
Fair & white Active Lightening Cream
12.
Fair & White Whitening Cream
13.
Fair & White Strong Bleaching Treatment Cream
14.
Fair & white Body Clearing milk
15.
Maxi – Tone fade Cream
16.
Nadinola Fade Cream
17.
Clear Essence Medicated fade Cream
18.
Peau Claire Body Lotion
19.
Reine Clair Rico Super Body Lotion
20.
Immediat Claire Maxi – Beuty lotion
21.
Tura Lotion
22.
Ikb Medicated Cream
23.
Crusader Skin Toning Cream
24.
Tura Bright & Even Cream
25.
Claire Cream
26.
Miki Beauty Cream
27.
Peau Claire Crème Eclaircissante
28.
Sivoclair lightening Body Lotion
29.
Extra Clair lightening Body Lotion
30.
Precieux Treatment Beauty Lotion
31.
Clear Essence Skin Beautifying Milk
32.
Tura Skin Toning Cream
33.
Madonna Medicated Beauty Cream
34.
Mrembo Medicated Beauty Cream
35.
Shirley Cream
36.
Kiss – Medicated Beauty Cream
37.
UNO21 Cream
38.
Princess Patra Luxury Complexion Cream
39.
Envi Skin Toner
40.
Zarina Medicated Skin Lightener
41.
Ambi Special Complexion
42.
Lolane Cream
43.
Glotone Complexion Cream
44.
Nindola Cream
45.
Tonight Night Beauty Cream
46.
Fulani Cream Eclaircissante
47.
Clere Lemon Cream
48.
Clere Extra Cream
49.
Binti Jambo Cream
50.
Malaika Medicated Beauty Cream
51.
Dear Heart with Hydroquinone Cream
52.
Nish Medicated Cream
53.
Island Beauty Skin Fade Cream
54.
Malibu Medicated Cream
55.
Care plus Fairness Cream
56.
Topiclear Cream
57.
Carekako Medicated Cream
58.
Body Clear Cream
59.
A3 Skin Lightening Cream
60.
Ambi American Formula
61.
Dream Successful
62.
Symba crème Skin Lite ‘N’ Smooth
63.
Cleartone Skin Toning Cream
64.
Ambi Extra Complexion Cream for men
65.
Cleartone Extra Skin Toning Cream
66.
O`Nyi Skin Crème
67.
A3 Tripple action Cream Pearl Light
68.
Elegance Skin Lightening Cream
69.
Mr. Clere Cream
70.
Clear Touch Cream
71.
Crusader Ultra Brand Cream
72.
Ultime Skin Lightening Cream
73.
Rico Skin Tone Cream
74.
Baraka Skin Lightening Cream
75.
Fairlady Skin Lightening Cream
76.
Immediat Claire Lightening Body Cream
77.
Skin Lightening Lotions Containing Hydroquinone
78.
Jaribu Skin Lightening Lotion
79.
Amira Skin Lightening lotion
80.
A3 Cleartouch Complexion Lotion
81.
A3 Lemon Skin Lightening Lotion
82.
Kiss Lotion
83.
Princess Lotion
84.
Clear Touch Lotion
85.
Super Max – Tone Lotion
86
No Mark Cream
JELI ZENYE KIAMBATO CHA HYDROQUINONE
1.
Body Clear
2.
Top Clear
3.
Ultra Clear
SABUNI YA MAJI YA KUJIPAKA YENYE KIAMBATO CHA HYDROQUINONE
1. Peau Claire Lightening Body Oil
LOSHE NI ZENYE KIAMBATO CHA HYDROQUINONE
1. G & G Dynamiclair lotion
2. G & G Teint Uniforme
3. G & G cream lightening beauty Cream
4. Dawmy-lighting Body lotion
5. Maxi White cream
6. Bioclare Lightening body lotion without hydroquinone
SABUNI ZENYE KIAMBATO CHA HYDROQUINONE
1.
Body Clear Medicated Antiseptic Soap
2.
Blackstar
3.
Cherie Claire Body Beauty Lightening & Treating Soap
4.
Immediate Clair Lightening Beauty Soap
5.
Lady Claire
6.
M .G.C Extra Clear
7.
Topi Clear Beauty Complexion Soap
8.
Ultra Clear
SABUNI ZENYE KIAMBATO CHA ZEBAKI/ MERCURY NA MICHANGANYIKO YAKE
1.
Movate Soap
2.
Miki Soap
3.
Jaribu Soap
4.
Binti Jambo Soap
5.
Amira Soap
6.
Mekako Soap
7.
Rico Soap
8.
Tura Soap
9.
Acura Soap
10.
Fair Lady
11.
Elegance
12. Block & white skin whitener Germicidal bath soap
13. Rose Beauty soap
14. Maxi-tone soap (skin lightening soap)
15. Margostara Soap (New Tannin)
16. Rusty- Whitening Soap (New formula)
17. Emani Naturally Fair (Pearls soap)
KRIMU ZENYE KIAMBATO CHA ZEBAKI /MERCURY NA MICHANGANYIKO YAKE
1.
Pimplex Medicated Cream
2.
New Shirley Medicated Cream
KRIMU ZENYE MISUGUANO (HORMONES IN STEROIDS)
1.
Amira Cream
2.
Jaribu Cream
3.
Fair & Lovely Super Cream
4.
Neu Clear Cream Plus (spot Remover)
5.
Age renewal Cream
6.
Visible Difference Cream (Neu Clear – Spots Remover)
7.
Body Clear Cream
8.
Sivo Clair Fade Cream
9.
Skin Balance Lemon Cream
10.
Peau Claire Cream
11.
Skin Success Cream
12.
M & C DynamiClair Cream
13.
Skin Success Fade Cream
14.
Fairly White Cream
15.
Clear Essence Cream
16.
Miss Caroline Cream
17.
Lemonvate Cream
18.
Movate Cream
19.
Soft & Beautiful Cream
20.
Mediven Cream
21.
Body treat Cream (spot remover)
22.
Dark & Lovely Cream
23.
SivoClair Cream
24.
Musk – Clear Cream
25.
Fair & Beautiful Cream
26.
Beautiful Beginning Cream
27.
Diproson Cream
28.
Dermovate Cream
29.
Top Lemon Plus
30.
Lemon Cream
31.
Beta Lemon Cream
32.
Tenovate
33.
Unic Clear Super Cream
34.
Topiflam Cream
35.
First Class Lady Cream
JELI ZENYE STEROIDS
1. Fashion Fair Gel Plus
2. Hot Movate Gel
3. Hyprogel
4. Mova Gel Plus
5. Secret Gel Cream
6. Peau Claire Gel Plus
7. Hot Proson Gel
8. Skin Success gel Plus
9. Skin Clear Gel Plus
10. Soft & Beautiful Gel
11. Skin Fade Gel Plus
12. Ultra – Gel Plus
13. Zarina Plus Top Gel
14. Action Dermovate Gel Plus
15. Prosone Gel
16. Skin Balance Gel Wrinkle Remover
17. TCB Gel plus
18. Demo – Gel Plus
19. Regge Lemon Gel
20. Ultimate Lady Gel
21. Topifram Gel Plus
22. Clair & Lovely Gel
KIPODOZI CHA KUZUIA HARUFU (ANTIPERSPIRANT) KILICHO NA ALUMINUM ZIRCONIUM COMPOUND
1. Triple dry antiperspirant
KIPODOZI CHA KUPUNGUZA UNENE CHENYE KIAMBATO KITOKANACHO NA MMEA (PHYTOLACEA Spp)
1. Fashion fair Gel Plus
2. Hot Movate Gel
3. Hyprogel
4. Mova Gel Cream
5. Secret Gel Cream
6. Peau Claire Gel Plus
7. Hot Proson Gel
8. Skin Success Gel Plus
9. Skin Clear Gel Plus
10. Soft & Beautiful Gel
11. Skin Fade Gel Plus
12. Ultra – Gel Plus
13. Zarina Plus Top Gel
14. Action Dermovate Gel Plus
15. Prosone Gel
16. Skin Balance Gel Wrinkle Remover
17. TCB Gel plus
18. Demo – Gel Plus
19. Regge Lemon Gel
20. Ultimate Lady Gel
21. Topifram Gel Plus
22. Clair & Lovely Gel
23. Block & white skin whitener Germicidal bath soap
24. Rose Beauty soap
25. Maxi-tone soap (skin lightening soap)
26. Margostara Soap (New Tannin)
27. Rusty- Whitening Soap (New formula)
28. Emani Naturally Fair (Pearls soap)
29. G & G Dynamiclair lotion
30. G & G Teint Uniforme
31. G & G cream lightening beauty Cream
32. Dawmy-lighting Body lotion
33. Maxi White cream
34. Bioclare Lightening body lotion without hydroquinone
35. Triple dry antiperspirant
VIPODOZI VYENYE KIAMBATO CHA TIN OXIDE KINACHOSABABISHA MUWASHO KIKITUMIWA KARIBU NA MAENEO YA MACHO
1. Eye shadow Gel 10
2. Eye shadow Gel 02 ( Pearl Brown Gel with Characteristics odor)
3. Eye shadow Gel 07 (Pearl Pink Gel with Characteristics odor)
4. Eye shadow Gel 08 (Pearl Dark Red Gel with Characteristics odor)
5. Eye shadow Gel 09 (Purple Dark Red Gel with Characteristics odor)
6. Eye shadow Gel
KIPODOZI CHENYE KIAMBATA CHA “MALIC ACID” KINACHOCHUBUA SELI ZA NGOZI NA KUSABABISHA WEUPE
1. AHA whitening Cream
KIPODOZI CHA NYWELE CHENYE KIAMBATO CHA “Apocynum Cannabium root extract”
1. Africa Gold Super Glo
KIPODOZI KINACHOTOKANA NA “TUSSILAGO FARFARA”
1. Sofn Free Hair Food
VIPODOZI VYENYE VIAMBATA VYA DAWA ZA TIBA
1. Blue Cap spray
2. Blue cap Cream
3. Blue c ap Shampoo
4. Marhaba Anti-Dandruff hair Cream
VIPODOZI VYENYE KIAMBATO CHA “STEROID”
1. Fair & White serum Exclusive whitenizer
2. Maxi white lightening body Milk
3. Maxitone Cleasing milk
4. Avordem cream
5. Niomre cream
6. Niomre lotion
7. Nyala Lightening body cream
8. Si Claire Cream
9. Cute Press White Beauty Lotion
10. White SPA Rose Lotion
11. White SPA UV lightening Cream
VIPODOZI VYENYE KIAMBATO CHA HYDROQUINONE
1. Fair & white Powder (exclusive whitenizer & serum)
2. New youth Tinted vanishing Cream
3. Skin success Fade cream regular
4. Teint clair Clear complexion Body lotion
5. Mareme cream
6. Si Claire Plus Cream
7. Clair and White body cream
8. Body white lotion
9. Bio Claire cream
10. Forever aloe MSM Gel
11. Kroyons baby Oil.
Chanzo: Tanzlife Company Limited